Nataka kuwa "Dalali" Nipeni Mbinu!

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Heshima yenu wakuu!

Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!

Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!

Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!

Santana
 
Sijakuelewa Bi Mkubwa..
 




Haha mtani bhana. Sahivi ana digirii ujue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…