Nataka kuwa "Dalali" Nipeni Mbinu!

Nataka kuwa "Dalali" Nipeni Mbinu!

Tafuta smartphone install apps za social media mfano fb whatsapp and insta then ongeza na online business apps like Kupatana zoom nk. Then jiunge na magroup ya whatsapp fb yale ya biashara. Unaweza kuangalia bidhaa za watu kwenye hayo magroup then unaziuza kwa chajuu. Mie nina marafiki zangu wanaofanya kazi kwenye maduka ya electronics na nguo kkoo so wanapiga picha naziedit kwa kuweka bei mpya na contacts then nazisambaza kwenye social media. Mwaka wa pili huu sina kazi but nakula navaa na kuhonga [emoji6][emoji6][emoji6]juu kwa udalali wa mitandaoni.
 
Hata hiyo degree yako bado haikusaidii,"nataka kuwa dalali"....dalali wa nini?machangudoa?,magari?nyumba/vyumba?
Heshima yenu wakuu!

Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!

Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!

Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!

Santana
 
Tafuta smartphone install apps za social media mfano fb whatsapp and insta then ongeza na online business apps like Kupatana zoom nk. Then jiunge na magroup ya whatsapp fb yale ya biashara. Unaweza kuangalia bidhaa za watu kwenye hayo magroup then unaziuza kwa chajuu. Mie nina marafiki zangu wanaofanya kazi kwenye maduka ya electronics na nguo kkoo so wanapiga picha naziedit kwa kuweka bei mpya na contacts then nazisambaza kwenye social media. Mwaka wa pili huu sina kazi but nakula navaa na kuhonga [emoji6][emoji6][emoji6]juu kwa udalali wa mitandaoni.
Nimekunote sana Mwamba..
 
Heshima yenu wakuu!

Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!

Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!

Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!

Santana
Uache kupitapita kwenye thread na kutukana watu, hujui nani atakusaidia. Heshimu kila mtu mkubwa kwa mdogo, unaemjua na usiemjua.
 
Unajuaje Mimi Muongo?
hahaaa, Santana ukiwa muongo usiwe msahaulifu, refer uzi wako uliosema umeishia shule ya msingi,watu tukafunguka wee kumbe unatuchora tuu mwenzetu umefika mpk chuo tehteh,refer ule uzi wa hostel UDSM, hahaa,afu uongo si mmbaya ukitaka kuwa dalali so usiogopeee
 
Hahahaa Asante financial services hivi hili jina lina maana gani
 
Back
Top Bottom