Usimzingue chalii yangu Aisee ππππ
[IMG]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/473/473723.jpg?1538515688[/IMG]
Santana
JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2010
684 694 180
Oct 5, 2018 #1
Si kila mmoja wetu amefanikiwa kufikia level kubwa ya Elimu wengine tuliishia Shule ya Msingi!
Binafsi mimi Nimeishia darasa la 5, baada ya kujikuta sipendi shule wala kusoma.. nikaona haina umuhimu.. Nikaamua Kujiunga na Veta na Maisha yanasonga!
Vipi wewe umekutana na hali kama hii ukaamua kuishia S/Msingi? na unafanya nini sasa!
Santana
Duh! Basi huyu ni wale madalali wa uswazi kabisaa naona ameamua kushare na sisi ili aone tunaichukuliaje kazi yake!hahahaah, 5/10/2018 alikuwa hana degree lakini ndani siku 13 amepata kadegree kake, anatafuta kazi ya udalali. hahahahahaahha
utakuwa umejika ktk nafasi nzuri ya utapeli,angalizo uwe na kumbukumbu imaraHeshima yenu wakuu!
Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!
Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!
Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!
Santana
Kaukimbia uzi[emoji23] [emoji23]hahahaah, 5/10/2018 alikuwa hana degree lakini ndani siku 13 amepata kadegree kake, anatafuta kazi ya udalali. hahahahahaahha
Udalali bahna ukijifanya una mshipa wa aibu hutoiweza hiyo kazi. udalali upo dizaini mbili, kutafutwa na wateja ama kutafuta wateja. Udalali upi labda unaotaka wewe [emoji52]Heshima yenu wakuu!
Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!
Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!
Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!
Santana
Kuna dalali wa mademKuna dalali wa magari
Kuna madalali wa nyumba,mashamba na viwanja
Kuna madalali wa kkoo,wao wanakaa mbele ya maduka mteja akikosa kitu wao wanakipata popote ndani ya dk chache tu
Uongo Ninauweza KabisaCha kwanza ni uwe muongo udalali ni sawa na kutongoza dem ukiwa mkweli sana .uta kosa kila kitu [emoji855]
Ndio Hii mzeeHii Id ya Underworld bado huitumii tena??
Asante sana Mkuu, Nimekuelewa sana ila Hapo Penye wekundu nieleweshe zaidi!Principles
1. Chagua udalali unaotaka kuufanyia kazi ila ili upate kazi nyingi usichague sector piga kote kote i.e usafirishaji mizigo, kukodi mashine za ujenzi, uuzaji wa vitu mbali mbali etc
2. Pata information za kutosha juu ya kitu unacho dalalia
3. Usiweke cha juu kikubwa sana
4.ukipata namba ya mteja wa kwanza usifute
5. Uwe na mtaji ili mishe ikibuma fedha unarejesha itakujengea heshima
6. Sometimes ingia gharama zako kama itafaa ili kujenga trust
7. Simu zako mda wote ziwe zinasalio na bundle na chaji
8. Jitangaze kwenye mitandao ya jamii
9.usiwe mdhulumaji, madalali ni ndugu mwenzio akiwa na shida msaidie
10. Kuzungukana kwenye michongo sio ujanja
11.usiwe mkali kuwa na lugha ya tamu yenye matumaini
12.uwe mvumilivu
13. Ukipata hela fanyia kitu cha maana maana sometimes ishu huwa zinagoma hadi miezi 6
14. Kila la kheri
Hili nitalifanyia kazi asee..ukiwa mwaminifu utafanikiwa sana maana mtaji ni mdomo tu na pesa inaingia kiulaini kabisa
Nimekupatautakuwa umejika ktk nafasi nzuri ya utapeli,angalizo uwe na kumbukumbu imara