Heshima yenu wakuu!
Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!
Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!
Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!
Santana
Nimekunote sana Mwamba..Tafuta smartphone install apps za social media mfano fb whatsapp and insta then ongeza na online business apps like Kupatana zoom nk. Then jiunge na magroup ya whatsapp fb yale ya biashara. Unaweza kuangalia bidhaa za watu kwenye hayo magroup then unaziuza kwa chajuu. Mie nina marafiki zangu wanaofanya kazi kwenye maduka ya electronics na nguo kkoo so wanapiga picha naziedit kwa kuweka bei mpya na contacts then nazisambaza kwenye social media. Mwaka wa pili huu sina kazi but nakula navaa na kuhonga [emoji6][emoji6][emoji6]juu kwa udalali wa mitandaoni.
NitakujaNataka kufunguwa darasa LA kujifunza udalali mwezi November kwa wiki moja ya pili field..karibu sana
Najua umenyimwa AkiliHata hiyo degree yako bado haikusaidii,"nataka kuwa dalali"....dalali wa nini?machangudoa?,magari?nyumba/vyumba?
Uache kupitapita kwenye thread na kutukana watu, hujui nani atakusaidia. Heshimu kila mtu mkubwa kwa mdogo, unaemjua na usiemjua.Heshima yenu wakuu!
Baada ya kupata Kaelimu kangu ka digrii ya kwanza, nimewaza na kuwazua kilichoko ndani yangu, Nimegundua nikiachana na Profession yangu mimi nina nguvu kubwa ya ushawishi hasa kupitia maneno!
Kwa maana hii nimeamua Part time Job yangu iwe "Udalali", ni matumaini yangu ni kazi ninayoweza kuifanya kwa ufasaha kabisa, ikiwa na faida kwa mnunuzi na muuzaji!
Kwa wazoefu wa hii kazi nipeni tips and tricks, Kijana nipate ya soda!
Santana
kwenye hili suala la uongo nadhani mleta uzi anafit maana ni muongo muongo fulani, saometimes kaishia darasa la 5, now anasema ana Degree hahaaa, udalali unamfaa kabisa huyuuCha kwanza ni uwe muongo udalali ni sawa na kutongoza dem ukiwa mkweli sana .uta kosa kila kitu [emoji855]
Unajuaje Mimi Muongo?kwenye hili suala la uongo nadhani mleta uzi anafit maana ni muongo muongo fulani, saometimes kaishia darasa la 5, now anasema ana Degree hahaaa, udalali unamfaa kabisa huyuu
Kweli hili bichwa ni lichafuCha kwanza kabisa inabidi uwe na number nyingi za simu.
Uongo wenye karibu na ukweli ndio mtaji
NB; Ukichanganya hapo juu unaweza kujikuta tapeli
hahaaa, Santana ukiwa muongo usiwe msahaulifu, refer uzi wako uliosema umeishia shule ya msingi,watu tukafunguka wee kumbe unatuchora tuu mwenzetu umefika mpk chuo tehteh,refer ule uzi wa hostel UDSM, hahaa,afu uongo si mmbaya ukitaka kuwa dalali so usiogopeeeUnajuaje Mimi Muongo?
Hahahaa Asante financial services hivi hili jina lina maana ganihahaaa, Santana ukiwa muongo usiwe msahaulifu, refer uzi wako uliosema umeishia shule ya msingi,watu tukafunguka wee kumbe unatuchora tuu mwenzetu umefika mpk chuo tehteh,refer ule uzi wa hostel UDSM, hahaa,afu uongo si mmbaya ukitaka kuwa dalali so usiogopeee