Nataka kuwa maarufu

Yan ilo jina lako na ulivyoandka vinaonesha ni jins gan ulivyo Galasa

Nenda kajitose Baharini utakuwA maarufu
 
Tembea uchi, au kamtie mkeo sokoni dunia itakujua tuu.
 
Mbona rahisi saana kanye sokoni tu Mkuu wakati wa mchana
 
Kazi ndogo sana iyo nenda pale ikulu magogoni kafanye fujo piga sana walinzi waikulu mbona siku 1 dunia nzima ishakujua ingawa tayari utakuwa MAREHEMU
 
Nenda kanye kwenye gof la magogon pale getin
 
Jiue kwa kujikata kiungo kimoja kimoja
 
chukua nguruwe siku ya ijumaa saa sita kafungie msikitini usipo kuwa maharufu nifuate nikupe ya mwisho
 
Fanya tafuta waandishi wa habari kila siku uwe unaenda kuny.a pale kariakoo kwenye mataa huku wahandishi wa habri wakipiga picha nakuchukua maelezo, kila siku una kuwa unabadilisha mazingira leo kariakoo kesho posta, siku nyingine Nazi mmoja unakuwa unaandaa elfu hamsini ya faini tu ya uchafuzi wa mazingira, hapo lazima uwe maarufu tu
 
Nenda pale magogoni kapige honi, mfululizo, utapata umaarufu mkuu
 
Fanya jaribio lakumteka mtukufu, yaani utakuwa maarufu dunia nzima itakutambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…