Nataka kuwa maarufu

Nataka kuwa maarufu

Ungeanza kuweka I'd yako halisi kwamaana ya jina then tukakutafute Facebook baada ya hapo kuwa shoga utajulikana
 
Hivi balehe za siku hizi zinaishia miaka mingapi? Halafu pafu moja ya bangi inakaa mda gani kichwani?
 
ni nini faida ya umaarufu kijana wangu? Mimi naukimbia umaarufu siutaki......umaarufu wako ni hatari sana kwa maisha yako
 
Habali wakuu mimi ni kijana wa miaka 25 sina mke wala mtoto lakin natafuta umarufu kwa hali na mali sasa nifanyeje ili niwe maarufu lakin sitak umarufu wa mda mfupi kama wa saed kubenea nataka umarufu wa mda mrefu kama wa lowasa na kikwete sasa nifanyeje ili niwe maarufu au nimutukane mtukufu na nijilekod afu nitupie mtandaon lakin naogopa sina milion saba naomben ushauri wenu nifanyeje ili niwe maarufu yaan nataka kila mtu anijue mitandao yote iniandike niwe news kwenye hii nchi ya nyerere nifanyeje wadau au nimutukane samia
muharibie mange kimambi
 
Ukijinyonga kisha ukaacha ujumbe utakuwa maarufu sana...
 
Back
Top Bottom