Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Hakuna mwanaume ambaye anataka afanye maisha na malaya

Nyinyi malaya ni wa kupiga hit and run

Mbona wewe kila ukikoment kwenye uzi wangu unazungumzia malaya vipi kaka unanifahamu au unaleta makasiriko kwenye uzi wangu aisee kuwa mstaarabu kama huna cha kukoment usikoment vitu vya kuwakejeli wenzio

Nazani hujawai kuona nimekoment kwenye uzi wako so please leo ni j2 usifikiri kuwa na fake id ndio inakupa uhalali wa kutukana watu
 
Sasa utakuwaje na mahusiano serious wakati wewe mwenyewe unapenda kudanga?

Thread 'Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae' Huyu mtu ananifaa kweli au niachane nae

 
Umewaza kama mimi,hilini dume JF kuna wanawake saba tu

[emoji23][emoji23][emoji23] daah we jamaa kwaiyo wanawake7 waliobaki ni wanaume

Mkuu hebu watag hao 7 unaowajua ukute hao 7 ndio vidume
 
Wewe mwenyewe umesema kuwa ni side chick

Side chick ni malaya

Au nakosea?
 
Kwa kufanya hivyo ndio nitapindua penzi
Unaweza kwa uzoefu wangu mabinti wa kileo wako kinyume sana na hayo.Ukifanya hivyo utakuwa lone among millions,jamaa ataona uko the best .Atahisi kuchonga beehive after testng honey.Kila wakati atakuwa anaimba HONEYYyy na wewe utampa vibunooo afu mtaitikia pamoja,,,polo,polo,poloooo.Italeta tafrani yaani frustration.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…