Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Alafu wewe msenge utakuwa wa kiume, kila siku unaleta visa vipya tu kama mama ntilie wa bonyokwa.
 
Hapa kasome Reverse Psychology mara nyingi inawahusu wanaume ila kwa situation hii inabidi uoneshe na kumzoesha kumjari jamaa kwa muda fulani then ondo hizo Care na kuwa kama huna interest nae tena hapo kama kweli njia zako ulifanya vizuri ataanza kukufuatilia wewe na kukuweka kipaumbere kama ija Work out tafuta uhusiano mwengine

Hii nzuri mkuu
 
Wakuu habari za weekend

Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae mbali

Sasa ndugu zangu unajua kwanini sikai muda mrefu na mahusiano ni kwasababu kila mahusiano nayoingia najikuta mimi ndio side chick, unakuta mwanaume ana mahusiano yake serious mimi ananifanya mchepuko nikishagundua hilo ndio huwa navunja mahusiano

Yaani nimechoka kila husiano naloanzisha unakuta tayari mwanaume ana mtu wake huko wa zamani mimi ndio kama nimevamia penzi la watu, hii kitu huwa inaniuma unaogopa hata kuharibu maana unakuta ameshazaa na binti au ana ujauzito au wanaishi wote ( hapa sizungumzii wanaume waliooa) nazungumzia wanaume tu ambao wapo na mahusiano serious

Kwasasa nimepata mtu ila na yeye nimegundua ana mahusiano yake serious japo sijamwambia… mahusiano yana mwezi mmoja tu,, sasa wakuu hili husiano nataka liwe la mwisho huyu mtu nataka nimng’ang’anie ikiwezekana penzi lake livunjike libaki kwangu

Wakuu nimechoka kuanza mahusiano mapya, huyu mtu hajaoa ila ana husiano seriously nataka nifanye mapinduzi

Wanaume kwa wanawake naombeni mbinu za kutumia ili niwe main check
Pole sana
 
Back
Top Bottom