Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Umeonaa eee haswa Kama bado huyo mtu aoneshi dalili
Hapa kasome Reverse Psychology mara nyingi inawahusu wanaume ila kwa situation hii inabidi uoneshe na kumzoesha kumjari jamaa kwa muda fulani then ondo hizo Care na kuwa kama huna interest nae tena hapo kama kweli njia zako ulifanya vizuri ataanza kukufuatilia wewe na kukuweka kipaumbere kama ija Work out tafuta uhusiano mwengine
 
Wakuu habari za weekend

Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae mbali

Sasa ndugu zangu unajua kwanini sikai muda mrefu na mahusiano ni kwasababu kila mahusiano nayoingia najikuta mimi ndio side chick, unakuta mwanaume ana mahusiano yake serious mimi ananifanya mchepuko nikishagundua hilo ndio huwa navunja mahusiano

Yaani nimechoka kila husiano naloanzisha unakuta tayari mwanaume ana mtu wake huko wa zamani mimi ndio kama nimevamia penzi la watu, hii kitu huwa inaniuma unaogopa hata kuharibu maana unakuta ameshazaa na binti au ana ujauzito au wanaishi wote ( hapa sizungumzii wanaume waliooa) nazungumzia wanaume tu ambao wapo na mahusiano serious

Kwasasa nimepata mtu ila na yeye nimegundua ana mahusiano yake serious japo sijamwambia… mahusiano yana mwezi mmoja tu,, sasa wakuu hili husiano nataka liwe la mwisho huyu mtu nataka nimng’ang’anie ikiwezekana penzi lake livunjike libaki kwangu

Wakuu nimechoka kuanza mahusiano mapya, huyu mtu hajaoa ila ana husiano seriously nataka nifanye mapinduzi

Wanaume kwa wanawake naombeni mbinu za kutumia ili niwe main check
Hapo ukitaka kufanya mapinduzi toa "NDOGO"
 
"Njoo kwangu Eva Wangu,,Mimi ndio Adam wako hapa Ulimwenguni na Si bustanini"###LAVUKwanini??##
 
Ukiona watu wamekaa miaka yote hiyo usidhanii kama walikuwa wanafurahia kipindi chote hicho , watu wanacheatiwa lkn wanasemehe wanasonga mbele
 
Kwanza usiwe desparate kupata huyo mtu, we kuwa kawaida endelea na maisha yako atakuja tu.

Pili usiwe tooo nice nature yetu binadamu tunajifanya "hatupendi tunachokipenda" ukiwa tooo nice utabaki mchep tu foreva and eva

Mwisho hebu kuwa nao wawili au watatu (simaanishi kulala nao) ishi naooo halafu utachagua mmoja anaefaa

Kasome kitabu kinaitwa "why men marry bitches" hadi hapa ukishindwa mapinduzi nenda tu konvetini dada ukawe sista.

😄😄😄 kumbe kuna muda unakua na akili
 
Kama unabandika makope, mikucha kama jini na vikuku miguuni sahau kuwa main chick. Wewe ni disposable item hadi utapokua bibi.
 
Na hujasema mpaka useme

Kama hujui hakuna mwanaume aliyesingo wote occupied ni wewe unaweza cheza vipi ili uwe main nje ya hapo utazeeka mapema tu

Njoo Kwa wazee
 
Huyo ambae hana kitu namtoa wapi… au nikamtongoze mimi
Wanaume wenyewe siku hizi waoga wakiona umesuka umependeza wanakuona wa ghali

Kuna mmoja alinambia yeye hawezi kuoa mwanamke msomi na mzuri ni Heri akoe singomaza… kwamba wanawake wa hivyo watamsumbua
Mtoa bandiko,nimekwambia njoo huku kwedikwazu tusogeze maisha au hutaki,achana na mambo ya mjini,
Ona Sasa unakwenda kuwa side chick wakati kwangu utakua permanent chick
 
Wakuu habari za weekend

Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae
Unazungumzia mwaka na wakati kuna wakongwe hapa hata wiki haijawahi kufika. Hongera kwa kuvumilia
 
Back
Top Bottom