Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Nataka kuwa main-check nimechoka kuwa side check wa mtu nipeni mbinu

Wakuu habari za weekend

Mimi nina changamoto ya mahusiano kwanza sijawahi kuwa na mahusiano ya kudumu yaani yatoboe mwaka sijawahi mengi ni muda mfupi sana yaani mpaka nawaone wivu wale wenye wapenzi wao wametoka mbali unakuta mtu anakusimulia yaani sisi hivi hivi hapo wana miaka hata 4 najisikiaga vibaya sina mtu nilietoka nae mbali

Sasa ndugu zangu unajua kwanini sikai muda mrefu na mahusiano ni kwasababu kila mahusiano nayoingia najikuta mimi ndio side chick, unakuta mwanaume ana mahusiano yake serious mimi ananifanya mchepuko nikishagundua hilo ndio huwa navunja mahusiano

Yaani nimechoka kila husiano naloanzisha unakuta tayari mwanaume ana mtu wake huko wa zamani mimi ndio kama nimevamia penzi la watu, hii kitu huwa inaniuma unaogopa hata kuharibu maana unakuta ameshazaa na binti au ana ujauzito au wanaishi wote ( hapa sizungumzii wanaume waliooa) nazungumzia wanaume tu ambao wapo na mahusiano serious

Kwasasa nimepata mtu ila na yeye nimegundua ana mahusiano yake serious japo sijamwambia… mahusiano yana mwezi mmoja tu,, sasa wakuu hili husiano nataka liwe la mwisho huyu mtu nataka nimng’ang’anie ikiwezekana penzi lake livunjike libaki kwangu

Wakuu nimechoka kuanza mahusiano mapya, huyu mtu hajaoa ila ana husiano seriously nataka nifanye mapinduzi

Wanaume kwa wanawake naombeni mbinu za kutumia ili niwe main check
Hayo tayari achana nayo labda jamaa mwenyewe aache huko aliko aje kwako.

Maana mpindua naye hupinduliwa 😅 Mapenzi ya kuforce magumu sana. Relax tu usiyatafute mahusiano yatakuja tu.

Main-Check na Side-Check 🤔
 
Kwa hiyo umekubali kuwa wewe ni malaya?

Must ndio wapi?

Ndugu usiniite mimi malaya maana hatujuani si una ndugu zako wewe kwanini usiende kuwaita malaya

Wakati mwinginee ukiendelea kuleta kejeli kwenye uzi wangu nitakujibu shit tuanze kuchukiana humu na hatufahamiani…

Andika uzi wako Halafu utoe hizo shit yaani Leo sina mood ya kumjibu mtu vibaya maana unachofanya hapa ni kunichokonoa nikasirike tutukanane… hivi nikaja kwenye uzi wako nikaanza kukoment wewe ni shoga utajisikia vizuri

So acha maneno ya kukera watu ambao huwafahamu yaani unachart na mtu huna huakika Kama ni wa kike o kiume..
Najua una hasira na wanawake ila mambo yetu tuachie sisi

Halafu usibadilishe dhima ya uzi wangu
 
Hayo tayari achana nayo labda jamaa mwenyewe aache huko aliko aje kwako.

Maana mpindua naye hupinduliwa [emoji28] Mapenzi ya kuforce magumu sana. Relax tu usiyatafute mahusiano yatakuja tu.

Kwaiyo nimuache sasa kila mtu mbona ana mahusiano
 
Kwaiyo nimuache sasa kila mtu mbona ana mahusiano
Sema unaokutana nao wewe ndio wanamahusiano. wapo ambao wapo single na wao wanaona kila mtu anamahusiano kumbe wengine mmeingilia ya watu 😂
 
Mbona wewe kila ukikoment kwenye uzi wangu unazungumzia malaya vipi kaka unanifahamu au unaleta makasiriko kwenye uzi wangu aisee kuwa mstaarabu kama huna cha kukoment usikoment vitu vya kuwakejeli wenzio

Nazani hujawai kuona nimekoment kwenye uzi wako so please leo ni j2 usifikiri kuwa na fake id ndio inakupa uhalali wa kutukana watu
Malaya sio tusi ni tabia hivyo usikasilike kama huna tabia za kimalayaaa alafu kama unataka Kua mainchik simple tafuta mwanaume ambaye hana kitu kabisa ukaaze naye kutafuta pesa na maisha ila kwa hawa ambao wamaokoto ni ngumu cos washajipata kimaisha hivyoo wanatafuta malaya wa kuspend nao tu........
 
Huyo ambae hana kitu namtoa wapi… au nikamtongoze mimi
Wanaume wenyewe siku hizi waoga wakiona umesuka umependeza wanakuona wa ghali

Kuna mmoja alinambia yeye hawezi kuoa mwanamke msomi na mzuri ni Heri akoe singomaza… kwamba wanawake wa hivyo watamsumbua
 
Ndugu usiniite mimi malaya maana hatujuani si una ndugu zako wewe kwanini usiende kuwaita malaya

Wakati mwinginee ukiendelea kuleta kejeli kwenye uzi wangu nitakujibu shit tuanze kuchukiana humu na hatufahamiani…

Andika uzi wako Halafu utoe hizo shit yaani Leo sina mood ya kumjibu mtu vibaya maana unachofanya hapa ni kunichokonoa nikasirike tutukanane… hivi nikaja kwenye uzi wako nikaanza kukoment wewe ni shoga utajisikia vizuri

So acha maneno ya kukera watu ambao huwafahamu yaani unachart na mtu huna huakika Kama ni wa kike o kiume..
Najua una hasira na wanawake ila mambo yetu tuachie sisi

Halafu usibadilishe dhima ya uzi wangu
Unavyoandika tu unaonekana mapepe hakuna mwanaume anaependa mwanamke mapepe , usipoacha mapepe kila mtu atakufanya masturbation yake na siyo kuweka malengo kwako.
 
Back
Top Bottom