balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Kufanya mapenzi na mtu ambaye siyo mkeo ama mumeo ni mambo mawili tu
1.Uasherati kwa ambao hawajaolewa au kuoa.
2.Uzinzi kwa walio kwenye ndoa.
Umalaya ni kufanya tendo la kujamiiana ili ulipwe ujira.
Kwa mleta mada hajaongelea lolote katika hayo matatu,alichoongelea ni kupata mtu wakawa na mahusiano ya kudumu muda mrefu zaidi ya miezi michache kama yalivyomkuta.Mahusiano si lazima yahusishe kujamiiana na kujamiiana kukiwepo,bado si umalaya hadi kuwepo kuuziana na kununuliana mwili.Umalaya ni biashara ya kuuza huduma ya kujamiiana.