Nataka kuwa na nywele za kiarabu

Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
we jini, au mtumwa wa waarabu? tatizo watu wa pwani mnawaona waarabu kama miungu yenu vile, sijui wamewalogaje? hata mkiingia kwenye masinagogi yenu mnawaona wao ndio bora kuliko na wao wanawadharau mwisho na hawataki watoto wao muwaguse kabisa.
 
haziwezi kuwa hivo..
nywele zile inabidi uzaliwe nazo.
Kama Mimi mbongo lakini nnazo..

LA sivyo weka waves,relax a
nenda kanunue ojoojo kwa esmaplatnumz
upake zitarefuka utakua Kama mzungu
 
haziwezi kuwa hivo..
nywele zile inabidi uzaliwe nazo.
Kama Mimi mbongo lakini nnazo..

LA sivyo weka waves,relax a
nenda kanunue ojoojo kwa esmaplatnumz
upake zitarefuka utakua Kama mzungu
relax ya kike

wave inafaa kwa nywele zipi fupi au ndefu?
 
Njoo nikupe zangu [emoji12],vipi rangi ya mtume unayo?
Acha ujinga wewe,ndio nyie mnaoishia kujichubua.
Mwanaume unatamani nywele nzuri?Ajabu hii.
kwani utanashati ni jambo baya?
 
we jini, au mtumwa wa waarabu? tatizo watu wa pwani mnawaona waarabu kama miungu yenu vile, sijui wamewalogaje? hata mkiingia kwenye masinagogi yenu mnawaona wao ndio bora kuliko na wao wanawadharau mwisho na hawataki watoto wao muwaguse kabisa.

Ndipo zinapoishia akili zao, ufahamu wao na macho yao. Wanajua nini zaidi?
 
Marehemu mambo vipi. Kuzimu kunasemaje? Naona umekuja na style ya nywele za kiarabu sasa. Kila la kheri mkuu ila ukikosa waombe akina miss natafuta na Miss Chaga wakuazime weaving pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…