Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dume la mbeguJINSIA YAKO TAFADHALI...!
we jini, au mtumwa wa waarabu? tatizo watu wa pwani mnawaona waarabu kama miungu yenu vile, sijui wamewalogaje? hata mkiingia kwenye masinagogi yenu mnawaona wao ndio bora kuliko na wao wanawadharau mwisho na hawataki watoto wao muwaguse kabisa.Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
relax ya kikehaziwezi kuwa hivo..
nywele zile inabidi uzaliwe nazo.
Kama Mimi mbongo lakini nnazo..
LA sivyo weka waves,relax a
nenda kanunue ojoojo kwa esmaplatnumz
upake zitarefuka utakua Kama mzungu
hapo sasa uende saloonrelax ya kike
wave inafaa kwa nywele zipi fupi au ndefu?
kwani utanashati ni jambo baya?Njoo nikupe zangu [emoji12],vipi rangi ya mtume unayo?
Acha ujinga wewe,ndio nyie mnaoishia kujichubua.
Mwanaume unatamani nywele nzuri?Ajabu hii.
we jini, au mtumwa wa waarabu? tatizo watu wa pwani mnawaona waarabu kama miungu yenu vile, sijui wamewalogaje? hata mkiingia kwenye masinagogi yenu mnawaona wao ndio bora kuliko na wao wanawadharau mwisho na hawataki watoto wao muwaguse kabisa.
Aliyekuambia utanashati ni kubadili nywele/kuwa na nywele nzuri ni nani?kwani utanashati ni jambo baya?
umeolewa??Aliyekuambia utanashati ni kubadili nywele/kuwa na nywele nzuri ni nani?
Zingatia usafi, vaa vizuri kuendana na wakati/muktadha...
Huo ndio utanashati.
Period
wewe si unataka kufa sasa Nywele za kiarabu za nini?Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu