Nataka kuwa na nywele za kiarabu

Nataka kuwa na nywele za kiarabu

Inabidi uweke dawa ya CURL inakaa kwa muda wa 3months.hii itafanya nywele zako kuwa na mawimbi na kuzijaza na pia utakuwa natural. Binafsi natumia. Haina gharama. Haikeri kama wasemavyo. Pia upate mtaalamu maana hii haiweki na kila mtu si kama dawa zingine zina kata nywele.
inafaa kwenye nywele fupi zenye dawa?
 
Back
Top Bottom