Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kijana nilijua kishaoza sasa,kumbe bado yupo,..!!
inafaa kwenye nywele fupi zenye dawa?Inabidi uweke dawa ya CURL inakaa kwa muda wa 3months.hii itafanya nywele zako kuwa na mawimbi na kuzijaza na pia utakuwa natural. Binafsi natumia. Haina gharama. Haikeri kama wasemavyo. Pia upate mtaalamu maana hii haiweki na kila mtu si kama dawa zingine zina kata nywele.
Kijana unataka kuwa mpakwa mafuta?Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu