Atakuwa anatamani kuwa Dada huyo! Muda si mwingi atakuja kuuliza namna ya kuwa na matiti.Aliyekuambia utanashati ni kubadili nywele/kuwa na nywele nzuri ni nani?
Zingatia usafi, vaa vizuri kuendana na wakati/muktadha...
Huo ndio utanashati.
Period
Ndio.umeolewa??
Mkuu mambo vipi, si kuna thread flan ulisema unajiua.... ? mrejesho uko vip?Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
wow..kesho utakuwa kiazi kitamu na waswahili hawana hiyana..watakila tu..Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Unataja kua na nywele za ma....iniWakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Mpuuzi tu huyo mkuu achana naeMkuu mambo vipi, si kuna thread flan ulisema unajiua.... ? mrejesho uko vip?
Demu wake kamshauri itakuwaNjoo nikupe zangu [emoji12],vipi rangi ya mtume unayo?
Acha ujinga wewe,ndio nyie mnaoishia kujichubua.
Mwanaume unatamani nywele nzuri?Ajabu hii.
Achana na mafuta. Tafuta pesa, ukizipata nywele zitakuwa kama za malaika.Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Unatafuta nywele za kiharabu au Unatafuta mwanamke ambae ajaolewa?!umeolewa??
Dictionary ipi imekwambia utanashati Ni nywele za kiarabu, Si wengine mbona tumetulia na vipara vyetu kimyaaa na ni watanashati haswaaa,kwani utanashati ni jambo baya?
Inabidi uweke dawa ya CURL inakaa kwa muda wa 3months.hii itafanya nywele zako kuwa na mawimbi na kuzijaza na pia utakuwa natural. Binafsi natumia. Haina gharama. Haikeri kama wasemavyo. Pia upate mtaalamu maana hii haiweki na kila mtu si kama dawa zingine zina kata nywele.Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Elimu yako tafadhariWakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Kiongoz hukujiua tuuuh.... Maana ulisema wajinyongaWakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
nikajua tayari umeshaoza kijana...vipi kuzimu huko ndiyo umeshauriwa uwe na nywele za kiarabu?au umekata tamaa kiasi kwamba umeamua uwe choko tu?Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu