Nataka kuwa na nywele za kiarabu

Nataka kuwa na nywele za kiarabu

Aliyekuambia utanashati ni kubadili nywele/kuwa na nywele nzuri ni nani?

Zingatia usafi, vaa vizuri kuendana na wakati/muktadha...
Huo ndio utanashati.
Period
Atakuwa anatamani kuwa Dada huyo! Muda si mwingi atakuja kuuliza namna ya kuwa na matiti.
 
[emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55] [emoji55] ....mtoto mtanashati analilia nywele za kiarabu......njoo pm nikuelekeze jinsi ya kuzipata.
 
Nenda duka la urembo kanunue dawa ya nywele inaitwa movit,nyingine relaxer. Paka kwa robo saa kisha nawa yaan hutaamini mwarabu utampita kwa ulaini na uzuri wa nywele.
 
kwani utanashati ni jambo baya?
Dictionary ipi imekwambia utanashati Ni nywele za kiarabu, Si wengine mbona tumetulia na vipara vyetu kimyaaa na ni watanashati haswaaa,
Usipokua makini utajikuta mtoto sio riziki asee, utagongwa ukiambiwa shahawa za mwarabu zinabadili nywele, nyau wewe ridhika na ulivyo paka wewe, mfyuuuu
 
Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
Inabidi uweke dawa ya CURL inakaa kwa muda wa 3months.hii itafanya nywele zako kuwa na mawimbi na kuzijaza na pia utakuwa natural. Binafsi natumia. Haina gharama. Haikeri kama wasemavyo. Pia upate mtaalamu maana hii haiweki na kila mtu si kama dawa zingine zina kata nywele.
 
Wakuu mafuta gani nikipaka nitakuwa na nywele kama za warabu
nikajua tayari umeshaoza kijana...vipi kuzimu huko ndiyo umeshauriwa uwe na nywele za kiarabu?au umekata tamaa kiasi kwamba umeamua uwe choko tu?
 
Back
Top Bottom