Tafuta pesa kama wewe ni (me) huku kwenye michakato utakutana na yoote hayo kuanzia complexion ya usoni mpaka kucha za miguu!!!!!!
Siku ukiona wanaokutegemea wako na furaha na wana enjoy uwepo wako basi automatically utaridhika tu utalala pazuri,kula pazuri achilia mbali body products zenye hadhi na ubora ambazo zitaleata tu hiyo complexion unayoiota! !!!!!!!
Kama wewe ni mwananaume mwenzangu na kijana asee komaa na kujenga uchumi achana na kukomalia muonekano sijui nikitoka kuoga ooonh nikiwa kitandani!!!!!
After all hata ukiwa na muonekano mzuri halafu wanaokutegemea wanateseka we unaona fahari gani????!!
Wakubwa
Babu D.C.
Kaizer,
Asprin,
The Boss mshaurini huyu mtoto wa kiume!!!