Nataka kuwa na uso soft jamani

Nataka kuwa na uso soft jamani

Status
Not open for further replies.
Mkuu OLESAIDIMU hata mwanao wa kiume huwezi kumuacha aanze kujisifia dady mimi ni handsome au mimi nataka niwe na uso kama wa mama utamwambia wazi hayo sio yako wewe pambana na maisha
Sijui anataka huo uso soft afanye nao nini au ampendezeshe nani
Mwalimu gfsonwin hebu njoo hapa bana umepotea sana
Kwa jinsi ninavyoona mpaka kijana kufikia hatua yakutaka kuwa na uso soft hajaanza leo inamaanisha keshatumia make up amechoka sasa iv anataka aviweke pembeni.....na ni hawa vijana wanaojiita masharobaro unakuta wamelelewa ki mayai toka wakiwa wadogo ndomana hata kazi kufanya inakuwa tabu mimi sizani kama mwanaumekweli unataka uso kuwa soft ..kweli kunakazi unayofanya..Unamajukumu....unamalengo uliyojiwekea... Huyu mimi naona amepotea
 
Wengine hapa mnaponda mkitoka hapa mnaenda saluni kupiga scrub......maisha bila unafiki hayaendi
 
Mkuu umenifanya nicheke sana....Heti anajisifia ana macho mazuri?? Dah kweli Dunia inaelekea pabaya inamana sasa kama ana macho mazuri tumfanyeje sisi..mhhhh

Sijui mkuu

Labda unaweza kuhisi tu kile ambacho anachokua anataka ......lol!!!!!!!!!
 
Nenda mombasa utapewa kila aina ya lotion utang'aa kama kioo.
 
Tafuta pesa kama wewe ni (me) huku kwenye michakato utakutana na yoote hayo kuanzia complexion ya usoni mpaka kucha za miguu!!!!!!

Siku ukiona wanaokutegemea wako na furaha na wana enjoy uwepo wako basi automatically utaridhika tu utalala pazuri,kula pazuri achilia mbali body products zenye hadhi na ubora ambazo zitaleata tu hiyo complexion unayoiota! !!!!!!!

Kama wewe ni mwananaume mwenzangu na kijana asee komaa na kujenga uchumi achana na kukomalia muonekano sijui nikitoka kuoga ooonh nikiwa kitandani!!!!!

After all hata ukiwa na muonekano mzuri halafu wanaokutegemea wanateseka we unaona fahari gani????!!

Wakubwa Babu D.C. Kaizer, Asprin, The Boss mshaurini huyu mtoto wa kiume!!!


Kwa mzazi yeyote, hii hali inatisha....

Hivi unajisikiaje kuona mtoto wako uliyemtegemea kuwa mrithi wa ukoo anazama baharani??

Tunahitaji muujiza haraka sana!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom