Kwa mzazi yeyote, hii hali inatisha....
Hivi unajisikiaje kuona mtoto wako uliyemtegemea kuwa mrithi wa ukoo anazama baharani??
Tunahitaji muujiza haraka sana!!
Babu hili la leo sio jipya ila sijui kwa nini limefika deep kwa mishipa yangu ya fahamu!!!!!
Ukiona hivyo ujue unaelekea kwenye ustaafu....kila picha unaikuza na kumega mega hadi unakuwa na taswira kama 100...Unaona kila kitu kwa jicho la mzazi mwenye watoto na wajukuu!1
Babu nashukuru sana hapa sasa nimepata maana ya reaction yangu maana nilikuwa kama napata hasira sana ilhali hata mtu mwenyewe simjui!!!!!
Ama kweli utu uzima dawa na hazina kubwa katika jamii,nashukuru kwa uwepo wako!!!!!
Alamsik babu
Hv nyie hamtoi ushaur mpk mumjue alyepoxt ni ke or me?
Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa
Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa
Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa
Tafuta pesa kama wewe ni (me) huku kwenye michakato utakutana na yoote hayo kuanzia complexion ya usoni mpaka kucha za miguu!!!!!!
Siku ukiona wanaokutegemea wako na furaha na wana enjoy uwepo wako basi automatically utaridhika tu utalala pazuri,kula pazuri achilia mbali body products zenye hadhi na ubora ambazo zitaleata tu hiyo complexion unayoiota! !!!!!!!
Kama wewe ni mwananaume mwenzangu na kijana asee komaa na kujenga uchumi achana na kukomalia muonekano sijui nikitoka kuoga ooonh nikiwa kitandani!!!!!
After all hata ukiwa na muonekano mzuri halafu wanaokutegemea wanateseka we unaona fahari gani????!!
Wakubwa Babu D.C. Kaizer, Asprin, The Boss mshaurini huyu mtoto wa kiume!!!
Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa
He he he, Eiyer umenigusaMkuu huyo ni mwanaume
Vijana hawa wa siku hizi ni majanga kabisa
Kuna mwingine alikuwa anajisifia eti ana macho mazuri
Sasa kijana anasema ana macho mazuri sijui anakua anataka nini
Kama kuna mtihani mgumu ni kulea kijana kwa sasa.