Nataka kuwa na uso soft jamani

Nataka kuwa na uso soft jamani

Status
Not open for further replies.
Huyu ndogo amenikumbusha story ya huyu dogo wa Uganda,

 
Last edited by a moderator:
Ukiona hivyo ujue unaelekea kwenye ustaafu....kila picha unaikuza na kumega mega hadi unakuwa na taswira kama 100...Unaona kila kitu kwa jicho la mzazi mwenye watoto na wajukuu!1

Babu nashukuru sana hapa sasa nimepata maana ya reaction yangu maana nilikuwa kama napata hasira sana ilhali hata mtu mwenyewe simjui!!!!!

Ama kweli utu uzima dawa na hazina kubwa katika jamii,nashukuru kwa uwepo wako!!!!!

Alamsik babu
 
Babu nashukuru sana hapa sasa nimepata maana ya reaction yangu maana nilikuwa kama napata hasira sana ilhali hata mtu mwenyewe simjui!!!!!

Ama kweli utu uzima dawa na hazina kubwa katika jamii,nashukuru kwa uwepo wako!!!!!

Alamsik babu

Wewe kapumzike mkuu....

Kama kweli wewe ni mzazi basi jiandae kuyaona....
 
Napenda niwe na uso wa kungaa halaf uwe soft bila make up yaan hata nkitoka kuoga tu nangaa


vile vitunguu unavyokataga uani na Dada zako uwe unabakisha kimoja kwa ajili ya kupaka...

TAHADHARI: tabia za kukaa uani zinamaliza nguvu za kiume
 
Mtua uzii anaona aibu mpaka basi haya majibu yote huoni aibu? Au upo kwenye balehe nini unajidanganya na mijichunusi yako tafuta post za
mzizi mkavu ana dadavua mambo kua chunusi izo sio kubalehe bali ni ugonjwa wa ngozi una sumbua wengi bila kujua by the way jitulize juma? Soft haina dili ckuiz nipesa bobi huoni waze walivo na mijisura kama ya kitamaduni na mistari saba saba but wanakubalika nakupendeka usofti huo hauna maana?..
 
Tafuta pesa kama wewe ni (me) huku kwenye michakato utakutana na yoote hayo kuanzia complexion ya usoni mpaka kucha za miguu!!!!!!

Siku ukiona wanaokutegemea wako na furaha na wana enjoy uwepo wako basi automatically utaridhika tu utalala pazuri,kula pazuri achilia mbali body products zenye hadhi na ubora ambazo zitaleata tu hiyo complexion unayoiota! !!!!!!!

Kama wewe ni mwananaume mwenzangu na kijana asee komaa na kujenga uchumi achana na kukomalia muonekano sijui nikitoka kuoga ooonh nikiwa kitandani!!!!!

After all hata ukiwa na muonekano mzuri halafu wanaokutegemea wanateseka we unaona fahari gani????!!

Wakubwa Babu D.C. Kaizer, Asprin, The Boss mshaurini huyu mtoto wa kiume!!!

Aisee

Siku nyingine usiite kwenye thread za kibwabwa muzee.

Tafazali sana.
 
Last edited by a moderator:
watu banah wanafki kwelikweli wanajifanya tu oooh wa kiume usiwe hivyo wakati hao wenyewe wanatamani kuwa soft. Nani anapenda kuwa na uso ulioparara? Back to the topic kijana kunywa maji sana then angalia aina ya uso wako kama ni mkavu au wa mafuta then nunua mafuta au lotion kulingana na aina ya ngozi yako. Bt usitumie kemikali kwa usalama wake.
 
Mkuu huyo ni mwanaume

Vijana hawa wa siku hizi ni majanga kabisa

Kuna mwingine alikuwa anajisifia eti ana macho mazuri

Sasa kijana anasema ana macho mazuri sijui anakua anataka nini
He he he, Eiyer umenigusa
Kijana wangu alianza kuwa anasema ana macho unique, mind you below 10, kwanza nikashangaa kajuaje macho yake yako unique.
Nikamuuliza, umejuaje? Akanijibu kina fulani huwa wananiambia.
Nikampiga marfuku kwenda kwa akina fulani kuanzia siku hiyo, nikaanza kumponda kwa dozi bila huruma.
Hakurudia tena kusema hayo

Nilichogundua kuwa, sometimes watu wanaokaa karibu na watoto wanawaharibu kwa kuwasifia sifia kijinga.

Mr Rocky hili suala linaitisha mjadala wa malezi ya vijana wa kiume

Cc Ennie, Kongosho, Kaunga, AshaDii, gfsonwin
Kama kuna mtihani mgumu ni kulea kijana kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom