Nataka kuwa na uso soft jamani

Nataka kuwa na uso soft jamani

Status
Not open for further replies.
shoga.JPG
Shoga1.JPG
 
He he he, Eiyer umenigusa
Kijana wangu alianza kuwa anasema ana macho unique, mind you below 10, kwanza nikashangaa kajuaje macho yake yako unique.
Nikamuuliza, umejuaje? Akanijibu kina fulani huwa wananiambia.
Nikampiga marfuku kwenda kwa akina fulani kuanzia siku hiyo, nikaanza kumponda kwa dozi bila huruma.
Hakurudia tena kusema hayo

Nilichogundua kuwa, sometimes watu wanaokaa karibu na watoto wanawaharibu kwa kuwasifia sifia kijinga.
Nidai buku mbili kwa hii post ya ukweli

Kama kuna mtihani mgumu ni kulea kijana kwa sasa.
Kweli kabisa
Yaani utadhani unamlinda kifaranga wa kuku katikati ya mwewe wenye njaa kali!
 
Lol hii kitu inasikitisha ila nimesoma post zote na nimecheka sana. Kwa kweli dunia imeisha na hivi nchi za wenzetu wanaanza kuhalalisha mambo ambayo yapo kinyume na maadili na Mungu mwisho waafrika na Watanzania wa dizaini hiyo nao wataomba haki zao zitambuliwe. Asprin uliyonena ni kweli mtupu inauma sana mwanao, ndugu ama mtu unayemthamini kuwa ktk hali hiyo unawaza na kuwazua hupati picha inakuwaje haya mambo? Never ever am I going to regret having my gals around, lol. Eti wengine wanakwambia hujamaliza hadi ulete dume, mhh me niweke wapi uso wangu na haya majanga? Bora ningekuwa naweza kumlinda full time ila si rahisi kbs.
Kuna movie 1 ya kihindi ckumbuki jina but mtoto alizaliwa na dalili hizi hivyo baba kwa aibu kamwe hakumtoa nje mwanae asiharibiwe na mabazazi so akaleta mwl home, ticha nae akagundua hicho kitu akataka kumuanzishia kamchezo mzee akamtimua. japo alikuja kubakwa na mijanaume bila ridhaa yake ila mzee alipokugundua alimuua mwenyewe.
Kwa kweli kwa vijana oneni hili kama tatizo and how it pains your parents. Waoneeni huruma na sisi wazazi tuongee na watoto wetu na kuwa nao karibu inasaidia kujua kinachoendelea km Kongosho alivyojua mapema alfajiri. Pia wanaoharibu hawa watoto ni watu wa karibu , walimu na mitaani hao marafiki, utamsifiaje mwanaume mwenzio?
 
Aisee, itabidi unioneshe machejo ya kupata mabinti, sili silali nawasaka sana.

Nyumba imejaa midume mi3, am tayadi na nina presha zaidi ya bomba la songas, niepushiwe kikombe hiki.

PM yako is not richabo ujue.
Yu kanti bi siriaz.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom