KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nidai buku mbili kwa hii post ya ukweliHe he he, Eiyer umenigusa
Kijana wangu alianza kuwa anasema ana macho unique, mind you below 10, kwanza nikashangaa kajuaje macho yake yako unique.
Nikamuuliza, umejuaje? Akanijibu kina fulani huwa wananiambia.
Nikampiga marfuku kwenda kwa akina fulani kuanzia siku hiyo, nikaanza kumponda kwa dozi bila huruma.
Hakurudia tena kusema hayo
Nilichogundua kuwa, sometimes watu wanaokaa karibu na watoto wanawaharibu kwa kuwasifia sifia kijinga.
Kweli kabisaKama kuna mtihani mgumu ni kulea kijana kwa sasa.
Yu kanti bi siriaz.....Aisee, itabidi unioneshe machejo ya kupata mabinti, sili silali nawasaka sana.
Nyumba imejaa midume mi3, am tayadi na nina presha zaidi ya bomba la songas, niepushiwe kikombe hiki.
PM yako is not richabo ujue.