Nataka kuwa Tajiri kupitia Barber Shop

Nataka kuwa Tajiri kupitia Barber Shop

Sijaona sehemu ya king'amuzi cha tv na umeme hapo au izo mashine zako zinatumia maji???
 
hivyo ving'amuzi nitaboresha taratibu,na suala la umeme sijaliweka coz sio isue sana...mdogo mdogo jamani
 
Vijana wengi wanaishia kwenye biashara ya kunyoa, utakuta mtaa mmoja yapo maduka zaidi ya 10, na siku amepata sana ni wateja 5.
 
Ni kweli,ila ubunifu na u stadi zaidi ni njia nzuri ya kupata pesa pia location...nadhani wazo lako ni zuri pia
 
Back
Top Bottom