Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
it is our time to change our future
KAsema yupo chuo kwa hiyo anataka kufanya akiwa bado chuo. Wewe ndo akili ndogo unashindwa hata kuelewa kilichoandikwa. Bora hata ana akili ya kuwekeza bumu lake. Wengine wanaishia kulewa tu pesa yote na kula mikate kama panya semester nzima:biggrin1:Amesema akimaliza chuo atafungua biashara ya kinyozi.
Huko chuoni anasomea nini?
Napiga Advanced Dip ya education
Ni vizuri sana kujiajiri mkuu!,Lakini kwa ww ambae upo chuo unasomea Education na maswala ya kuwa kinyozi wapi na wapi?,kwa mantiki hii Tanzania yetu tutapata walimu wanakuwa vinyozi na vinyozi wanakuwa walimu na madaktari wanakuwa mapolisi na mapolisi wanakuwa madaktari na hata watu waliosomea ufundi garage wanakuwa Madiwani!
Penye nia pana njia, mimi nataka niogelee Dar mpk Uarabuni