Nataka kuwa tajiri mkubwa sana, nauchukia umaskini

Nataka kuwa tajiri mkubwa sana, nauchukia umaskini

Ww Wala una maishà magumu SEMA ndio yule kijana wa hovyo wakusema mm siwezi kwenda kufagia Barabara maana watu watakuonaje ingali ukifagia Barabara unalipwa helaa.unachagua kazi kisa una ka degree Kako au huna ila ushajiwekea mipaka ya kazi Fulani nafanya ,kazi fualn huwezi kufanya hvyo lzm maishà yakuchape maana zile kazi ambazo utaki kuzifanya Kila cku ndio zipo na Zina Hela tu sema kwakuwa ndio hvyo utaki kz ,,mwishowe ndio hyo kuwaza ujinga wa kwenda Kwa waganga

Shenziii kbs
Una hasila san sababu na wewe ni maskin mwenzangu, mim sijasoma kiivo na wala hio digirii siijui kwaio pole sana mumaskini mwenzang tutafutte pesa kwa namuna yoyote au kama wewe umerizika na umasikini wako basi fuleshi
 
Asalaam alaykum. Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa hata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye moyo wakusaidia watu kama mimi anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha Asalaam alaykum.

Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri wa pesa za majini ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nazarauliwa hata ndugu zangu wananicheka kwa kusema sina pesa ata senti hamsini aisee nimechoka kuchekwa jamani mwenye koneksheni za wataalam wa utajiri wa masharti, majini, mizimu, anisaidie jamani haya ni mateso katika maisha yangu. Sitaki kua maskini. Sijui kipi sijafanya ila sifanikiwi naona sasa nimsogelee shetani.
Muulize Ommy Dimpoz. Anzia hapo...Utafanikiwa
 
Siku hizi freemasons na waganga wamebana sana na kuongeza masharti. Siyo kitonga kivile kama zamani.

Kwanza kabla ya kutoa kafara lazima rinda litatuliwe halafu ndo kafara sasa inafuata.

Sasa kuna haja gani ya utajiri huku umevuliwa ubingwa?
Hiri swara la kuvuriwa ubingwa siriamini kabisa ni kauri tu za kejeri zinazotoka kwa maskin wenzangu wario na hasira za kimaisha
 
Una hasila san sababu na wewe ni maskin mwenzangu, mim sijasoma kiivo na wala hio digirii siijui kwaio pole sana mumaskini mwenzang tutafutte pesa kwa namuna yoyote au kama wewe umerizika na umasikini wako basi fuleshi
Nakupa namba ya mgangaa ilaa upo tayari Kwa kuvuliwa ubingwa mkuu upate huo utajiri 🤪🤪🤪

Maana unavyozungumzia huo utajiri c km unavyoandika neno lenyewee..😂
 
Siku hizi freemasons na waganga wamebana sana na kuongeza masharti. Siyo kitonga kivile kama zamani. See

Kwanza kabla ya kutoa kafara lazima rinda litatuliwe halafu ndo kafara sasa inafuata.

Sasa kuna haja gani ya utajiri huku umevuliwa ubingwa?
IMG_20240817_203752.jpg
 
Acha tamaa pambana tu taratibu hicho unachotafuta kitakufanya kuwa maskini kuliko ulivyo leo
Sio tamaa mzee, naamin kabisa nachotafuta kitanifanya niwe tajir. Hizo mawazo nirikua nazo kwa muda mrefu ila ndio zimeniongezea umaskini kwa spid ya 5g
 
Asalaam alaykum. Jaman mim nahitaji siku moja niwe tajiri mkubwa sana, wa pesa za masharti ili namimi jamii yangu iniheshimu inafika wakati nadharauliwa
Usiuze roho yako kwa ibilisi kaka...wewe ni muhanga wa msongo wa mawazo....fanya jitihada tafuta dollar 100 sawa na 27000/ kisha kama una namba ya nida niambie nikuelekeze namna ya kupata pesa bila kuuza roho yako huko....KARIBU sana kijana mwenzangu.
 
Nakupa namba ya mgangaa ilaa upo tayari Kwa kuvuliwa ubingwa mkuu upate huo utajiri [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Maana unavyozungumzia huo utajiri c km unavyoandika neno lenyewee..[emoji23]
Hiri swara la kuvuriwa ubingwa siriamini kabisa ni kauri tu za kejeri zinazotoka kwa maskin wenzangu wario na hasira za kimaisha
 
Haina haja ya pesa za majini. Kama upo tayari kutoa jicho njoo PM, utapata utajiri mkubwa sana
Hiri swara la kuvuriwa ubingwa siriamini kabisa ni kauri tu za kejeri zinazotoka kwa maskin wenzangu wario na hasira za kimaisha
 
Back
Top Bottom