To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😳unataka uache ile kazi ya Mpwayungu Village ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳unataka uache ile kazi ya Mpwayungu Village ?
mbona unatoa macho ?😳
Hata yule agent anae kukatisha ticket ya Ndege nae ni Winga pia!!Kibaka anayekuwa na bidhaa mbili mkononi kama machinga lakini hasa anachokifanya ni wizi
itakuchukua mda sema ungekua muwazii uwinga wako utahusiana na nini mfano nguo, electroni tv, simu n.kNaombeni ushauri jinsi ya kuwa winga KARIAKOO sijawahi kufanya hii mishe na sijui pa kuanzia nifanyaje ili niweze kufanya, wiki ijayo naingia Dar kutoka Singida na Ni mara yangu ya kwanza kufika Dar [emoji120]
Unapiga mishe gan?Nipo dar ila napiga mishe tofaut mkuu