Nataka kuwah msimu wa mchele mashambani hivi ni mwezi wa ngapi mavuno yanachanganya na mchele mashambani hupatikana kwa bei rahisi

Anataka kutapeliwa tu huyu, Mimi Kuna mtu humu alishawahi kunitapeli halafu alikuwa ni Mstaarabu Sana.
Wengi ya wanaosema njoo hapa asiwaamini. Fikiria: Inakuwaje mtu anakung'ang'aniza kukuomba ili akuonyeshe sehemu ya kununua?
 
Na ni gunia la debe ngapi
Hoyaa, wewe utapigwa sasa hivi kama usipokuwa mwangalifu. Anza kidogo kidogo. Tenga fedha za kufanya utafiti. Nenda maeneo uliyoambiwa, weka kambi (katu usiseme kwa kila mtu kuwa unataka kufanya hiyo biashara). Angalia jifunze wanavyonunua, usafiri unavyokuwa na gharama zake, kisha anza na gunia chache.
 
Saw saw bro nimekuelewa san
 
Michele mwaka huu Iko bwerere huwezi maliza Kila Kona ya Nchi imejaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…