macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wengi ya wanaosema njoo hapa asiwaamini. Fikiria: Inakuwaje mtu anakung'ang'aniza kukuomba ili akuonyeshe sehemu ya kununua?Anataka kutapeliwa tu huyu, Mimi Kuna mtu humu alishawahi kunitapeli halafu alikuwa ni Mstaarabu Sana.