Nataka Kuwashitaki tiGO Msaada...

Nataka Kuwashitaki tiGO Msaada...

mtafute mwanasheria hapo dar ulipo
atawaandikia demand notice ya kukurudishia no. yako ndani ya siku 7 na fidia juu
wanasheria wanaelewa how to draft such letter
after 7 days kama hawajarudisha atafungua madai yako mahakama ya wilaya au mkoa kwa hakimu mkazi under certificate of urgency
since no yako ina watu wengi ataeleza na hasara unazopata kwa kukosa mawasiliano na kudai damage kubwa
na other reliefs deemed necessary as court may think so.

grounds to be relied on
breach of contract btn you and tigo.
breach of privacy policy btn you and the company

since hiyo no ni personal na unahaki zote
kukosa mawasiliano nayo ni foreseen loses both economically and socially
pia Tigo wako against na sheria za mawasiliano kwa walilokufanyia.
andaa doc za usajili wa number yako
nk.
hapo patamu kwa mwanasheria makini na hakimu makini hapo hamtakosa 70M au zaidi.
itakuwa fundisho kwa makampuni mengine yenye tabia kama hizo
kila la kheri katika kudai haki yako
KIMOKSI FANYA HIMA KESHO WAKUANDIKIE MAPEMA NA UWA SERVE TIGO KESHO HIYO HIYO

Shukran mkuu, kwenye nyekundu nimepapenda zaidi, kwenye nyekundu BOLD nitakitafuta kile kikaratasi cha usajili usiku huu huu kwenye makalabrasha yangu. Kazi ipo kwenye kupata Advocate
 
Poleeee. Kwanza,Jaribu kuuliza hapo ofisini kama wao ndo waliobadilisha usajiri. Huwezi jua. Kama they are not responsible the as advice, tafuta advocate. Goodluck
 
Nina hasira nao hadi nawashwa mwilini, ni was.henzi sijapata ona,natamani huyo CEO wao angekuwa member humu ningemchana hadi rami zingeota nyasi, tangu ijumaa hadi jana jumatano eti hakukuwa na huduma ya internet kwa simu za android na pesa wanakata kila siku, na mie acha nicheki namna ya kuwawajibisha kisheria, huu upumbavu wao umezidi
 
Poleeee. Kwanza,Jaribu kuuliza hapo ofisini kama wao ndo waliobadilisha usajiri. Huwezi jua. Kama they are not responsible the as advice, tafuta advocate. Goodluck

Nimekwenda kuwawakia utawala leo, Wao wenyewe wakashangaa imekuwaje wamebadili umiliki wa line yangu na wengi tu wa ofisini. Nikawaambia waandike *106# kisha wapige watazame namba zao zimesajiliwa kwa jina gani wote wakashangaa pia. Hivyo tiGO wamefanya uhuni, badala ya kuingiza muda wa hewani wao wakabadili umilikaji mzima wa line kwenda kwa Kampuni
 
Hivyo hili ni swala kwa wafanyakazi wengi wa Kampuni hii hasa wafanyakazi wa kawaida tumeporwa line zetu na kumilikishwa kwa kampuni. Hivyo siri zetu zote ziko wazi kwa Kampuni kufanya itakavyo
 
Nimekwenda kuwawakia utawala leo, Wao wenyewe wakashangaa imekuwaje wamebadili umiliki wa line yangu na wengi tu wa ofisini. Nikawaambia waandike *106# kisha wapige watazame namba zao zimesajiliwa kwa jina gani wote wakashangaa pia. Hivyo tiGO wamefanya uhuni, badala ya kuingiza muda wa hewani wao wakabadili umilikaji mzima wa line kwenda kwa Kampuni

Then, organise urselves. Its good kama mko wengi. It will be cheaper. Am sure this case haita enda mbali. Tigo itasettle before kwenda mahakani.
 
Very interesting:-

1. Kujua what will be the results at the end of the day.
2. Kuwa waangalifu kwani vitu kama hivi ambavyo hutegemei kutokea vinaweza kutokea katika mazingira yetu ya TZ.
3. Kijifunza kutokana na matokeo yatakayopatikana hapa.

Mkuu pole sana kwa usumbufu. Najua madhila ya unapokuwa na kazi za kukushughulisha halafu vitu kama hivi vinaingia kati ina disturb to the maximum....

Kila la heri katika kupata haki yako.....
 
Back
Top Bottom