Eng Kimox Kimokole
JF-Expert Member
- Jun 9, 2010
- 1,037
- 767
- Thread starter
- #21
mtafute mwanasheria hapo dar ulipo
atawaandikia demand notice ya kukurudishia no. yako ndani ya siku 7 na fidia juu
wanasheria wanaelewa how to draft such letter
after 7 days kama hawajarudisha atafungua madai yako mahakama ya wilaya au mkoa kwa hakimu mkazi under certificate of urgency
since no yako ina watu wengi ataeleza na hasara unazopata kwa kukosa mawasiliano na kudai damage kubwa
na other reliefs deemed necessary as court may think so.
grounds to be relied on
breach of contract btn you and tigo.
breach of privacy policy btn you and the company
since hiyo no ni personal na unahaki zote
kukosa mawasiliano nayo ni foreseen loses both economically and socially
pia Tigo wako against na sheria za mawasiliano kwa walilokufanyia.
andaa doc za usajili wa number yako
nk.
hapo patamu kwa mwanasheria makini na hakimu makini hapo hamtakosa 70M au zaidi.
itakuwa fundisho kwa makampuni mengine yenye tabia kama hizo
kila la kheri katika kudai haki yako
KIMOKSI FANYA HIMA KESHO WAKUANDIKIE MAPEMA NA UWA SERVE TIGO KESHO HIYO HIYO
Shukran mkuu, kwenye nyekundu nimepapenda zaidi, kwenye nyekundu BOLD nitakitafuta kile kikaratasi cha usajili usiku huu huu kwenye makalabrasha yangu. Kazi ipo kwenye kupata Advocate