Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hili bila shaka ni dume la Dar mkuu!!....Siyo kwa kujiremba huku!......Eti kutoboa pua na macho![emoji17]Jukwaa la urembo, mtu kaja kupost kitu cha urembo, mnamshambulia,
Sasa nyie marijali kwenye jukwaa la urembo mlikuja kufata nini???
Some people bwanaaaaa.