Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Labda kwa Dar anaweza akaipata hiyo huduma mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]kiufupi hiyo huduma haipatikani Arusha ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kwa Dar anaweza akaipata hiyo huduma mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]kiufupi hiyo huduma haipatikani Arusha ..
Si unaona sasa!! Uliyataka mwenyewe hayo.
Unakwenda wapi na wewe ndio ulimshawishi?[emoji2] [emoji125]
Sio labda mkuu, kwa Dar ni uhakika!Labda kwa Dar anaweza akaipata hiyo huduma mkuu!![emoji23][emoji23][emoji23]
Unakwenda wapi na wewe ndio ulimshawishi?
Hadhibitiki huyu.Haha, jamani atoto kama anaipenda hiyo kazi je!
Si afadhali kufanya ile kitu roho inapenda, cha muhimu ni kumthibiti tu na mikwara mingii.