Nataka kuweka kile kipini cha chuma juu ya jicho, huwa kinawekwaje na ni bei gani?

Jukwaa la urembo, mtu kaja kupost kitu cha urembo, mnamshambulia,

Sasa nyie marijali kwenye jukwaa la urembo mlikuja kufata nini???

Some people bwanaaaaa.
Hili bila shaka ni dume la Dar mkuu!!....Siyo kwa kujiremba huku!......Eti kutoboa pua na macho![emoji17]
 
Najua baadaya hapa utakuja kutuuliza hivi kile kipini cha pua wanawekaje na kina madhara yoyote!!!???

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hili ni jukwaa la urembo. umefata nini?
 
Huko Arusha kusema?, sijui sehemu huko aliko yeye. Kwani Kaboom wewe si unafanya hii shughuli?!



Tehe teh!, si ulimshika mkono wewe?, bibie Mali weye!..
Kwani hata alinisikiliza sasa!!
 
Reactions: kui
Huko Arusha kusema?, sijui sehemu huko aliko yeye. Kwani Kaboom wewe si unafanya hii shughuli?!



Tehe teh!, si ulimshika mkono wewe?, bibie Mkali weye!..
Mi nawafanyia watt wa kike tu...
 
Arusha hatunaga walamba lips kwa msaada tu achana na hiyo kitu kwani wweza uziwa bati ikakuletea shida sana
 
kiufupi hiyo huduma haipatikani Arusha ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…