Hizo tafiti umezifanyia wapi kwamba Watanzania hawaoni uchungu
Bashite amefanya niombe Taiga Stars ifungwe - jambo ambalo halijawahi kutokea maishani mwangu. Na kweli tumefungwa. Nimefurahi mno!
Kijana nikuhakikishie tu kwamba nitim ya ccm ndio imefungwa.Hoja zenu ndogo ndogo sana
Siasa zimewajaa kama za bashite halafu cha kushangaza akifanya siasa mnamnanga wakati ni mwenzenu mpenda siasa. Kila kitu mnakitafutia angle ya siasa
Sema wasio CCM hawaoni uchungu, sio Watanzania. Haueleweki!Ndio maana imefungwa na watanzania hawaoni uchungu kwasababu ni Tim ya CCM ndio imefungwa
Naunga mkono hoja ndugu mjumbe.Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.
Kwenye vitu ambavyo vinanipa shida Tz. Ni uccm na Ucdm, mambo ambayo tunatakiwa tusimame kama taifa, tunatanguliza kick za kisiasa. Ndio matokeo yake.Kiukweli hatukuwa na maandalizi mazuri kwa timu yetu ya taifa, binafsi niliamini kwamba ni lazima tupoteze game simply because kiki za kisiasa viongozi wetu wameshindwa kutuunganisha sisi kama taifa badala yake wanatanguliza uCCM na uCHADEMA mpaka kwenye mambo yanayohitaji umoja wa nguvu wa watanzania ona sasa matokeo yake
CCM hoyeeSasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
Poor Tanzania, alishindwaje kuongea bila kuitaja ccm hapo ndani.Angalia hiyo itakusaidia
View attachment 1140676
Tatizo la Taifa stars sio hamasa watanzania tupo wengi sana, tatizo letu ni maandalizi na kuchanganya siasa za vyama kwenye mpira. Ungeisoma post #8 ya mkuu kule ungeelewa.Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
Kama hujui kucheza ni hujui tuu tusisingizie vyama. Ktk mataifa yaloenda AFCON Misri, Tanzania ni nchi iliyo very stable kisiasa. Usidhani sisi tuu ndo tuna siasa zisizofaa wengine ni mbaya zaidi ni kwamba tuu mpira hatuuwezi.
Kwa hiyo!!!!Kama hujui kucheza ni hujui tuu tusisingizie vyama. Ktk mataifa yaloenda AFCON Misri, Tanzania ni nchi iliyo very stable kisiasa. Usidhani sisi tuu ndo tuna siasa zisizofaa wengine ni mbaya zaidi ni kwamba tuu mpira hatuuwezi.
Ccm hatuuwezi mpiraKama hujui kucheza ni hujui tuu tusisingizie vyama. Ktk mataifa yaloenda AFCON Misri, Tanzania ni nchi iliyo very stable kisiasa. Usidhani sisi tuu ndo tuna siasa zisizofaa wengine ni mbaya zaidi ni kwamba tuu mpira hatuuwezi.
Ofcz kama wachezaji wale walitokea Lumumba na wote kama wana kadi za ccm, ni kweli nakili ccm hamuuwezi mpira. Endeleeni kuiba kura tuuCcm hatuuwezi mpira
Ulivyo I quote mara ya kwanza ulitakaje ?Sikuelewi sasa. Kwa hiyo hii ni picha ni yako au ya ndugu yako? Unanitumia ili iweje, ili nikufahamu?
Huu mchezo hauhitaji hasira.Kwani wewe ulitakaje?
Kabisaa, japo naona wewe una hasira na msela, mwanaa, mshikaji, tena sku izi kaachia na udezu mzee mwenyewe Bashite.Huu mchezo hauhitaji hasira.
Kabisaa, japo naona wewe una hasira na msela, mwanaa, mshikaji, tena sku izi kaachia na udezu mzee mwenyewe Bashite.