Nataka kuweka vitu sawa timu ya watanzania haijafungwa bali CCM ndio iliyofungwa

Nataka kuweka vitu sawa timu ya watanzania haijafungwa bali CCM ndio iliyofungwa

Bashite amefanya niombe Taiga Stars ifungwe - jambo ambalo halijawahi kutokea maishani mwangu. Na kweli tumefungwa. Nimefurahi mno!

kesho utaombea watoto wako wafe, mama yako afe, baba yako afe, ni mchawi sio sifa za upendo

wachezaji wana makosa gani?..au ni ma robot yale???

usitake sifa humu, angalia moyo
 
Hoja zenu ndogo ndogo sana
Siasa zimewajaa kama za bashite halafu cha kushangaza akifanya siasa mnamnanga wakati ni mwenzenu mpenda siasa. Kila kitu mnakitafutia angle ya siasa
Kijana nikuhakikishie tu kwamba nitim ya ccm ndio imefungwa.
 
Nataka niweke vitu sawa hapa, wakati sisi watanzania tulipokuwa tunaisaport Tim yetu ya taifa, alitokea kiongozi na kusema ile Tim ni serikali ya chama cha mapinduzi na inamuwakilisha rais. Sisi tulivyoona tunatengwa ikabidi tuwaachie Tim Yao. Sasa wamefungwa wanataka kujifanya ni Tim ya watanzania ndio imefungwa. Kwakweli Viongozi wa chama hiyo ni Tim yenu wala sisi hatuhusiki nayo.
Naunga mkono hoja ndugu mjumbe.
 
Sawa! Japo umeamua kuikana Stars kwa sababu za kisiasa
 
Kiukweli hatukuwa na maandalizi mazuri kwa timu yetu ya taifa, binafsi niliamini kwamba ni lazima tupoteze game simply because kiki za kisiasa viongozi wetu wameshindwa kutuunganisha sisi kama taifa badala yake wanatanguliza uCCM na uCHADEMA mpaka kwenye mambo yanayohitaji umoja wa nguvu wa watanzania ona sasa matokeo yake
Kwenye vitu ambavyo vinanipa shida Tz. Ni uccm na Ucdm, mambo ambayo tunatakiwa tusimame kama taifa, tunatanguliza kick za kisiasa. Ndio matokeo yake.
Huwezi sema ccm oyeeeeeee afu tukashinda bila maandalizi.
 
Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
CCM hoyee

IMG-20190628-WA0000.jpeg
 
Tatizo la Taifa stars sio hamasa watanzania tupo wengi sana, tatizo letu ni maandalizi na kuchanganya siasa za vyama kwenye mpira. Ungeisoma post #8 ya mkuu kule ungeelewa.
 
Kama hujui kucheza ni hujui tuu tusisingizie vyama. Ktk mataifa yaloenda AFCON Misri, Tanzania ni nchi iliyo very stable kisiasa. Usidhani sisi tuu ndo tuna siasa zisizofaa wengine ni mbaya zaidi ni kwamba tuu mpira hatuuwezi.
Kwa hiyo!!!!

Ccm hatuuwezi mpira
 
Kabisaa, japo naona wewe una hasira na msela, mwanaa, mshikaji, tena sku izi kaachia na udezu mzee mwenyewe Bashite.

Hasira sina ila jamaa kaharibu mudi ya wapenzi wa mpira mpaka watu wanageuziana silaha,ushamba kitu kibaya sana matokeo yake kavuna aibu.
 
Back
Top Bottom