Nyamagondo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 648
- 765
Kinachokera ni mnamsema sema saana na ndicho kitu anachokipenda, mnampa saana umaarufu. Huyu siku akija kujitwist kidogo tuu anakua zaidi ya alipo maana anajua kuwachezesha ngomaHasira sina ila jamaa kaharibu mudi ya wapenzi wa mpira mpaka watu wanageuziana silaha,ushamba kitu kibaya sana matokeo yake kavuna aibu.
Mimi nilikua kwenye mfungo tokea jumatatuBashite amefanya niombe Taiga Stars ifungwe - jambo ambalo halijawahi kutokea maishani mwangu. Na kweli tumefungwa. Nimefurahi mno!
Jamaa ana gundu acha kabisa, unaweza chemsha maharage yako vizuri tu kwa ajili msosi wa jioni sasa jamaa akija akagusa tu sufuria tena kwa nje maharage yote yanachacha. π―π―π―π―π― hii si balaa hii!!!Kila mtu alitarajia mwisho mbaya kwa timu yetu baada ya Bashite kutia mguu tu
Haleluya Amen tumefungwaSasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu
98% ni ccm ndio maana mmeshindwa kama ambavyo hua mnashindwa kwenye kura mnatumia police mlifikir na huko mngetumia hao police wenu mmegongwa hangaikeni nalitimu lenu.Sasa hujui kua kila kitu kiko chini ya serikali inayoongozwa na ccm? Kwa hiyo hata Magu hakutakiwa kuwaita ikulu kwa kua ni mwana ccm? Hebu niambie ni nani angehamasisha stars na hana kadi ya ccm. Watu wote unao waona ktk sports 98% ni ccm. Kua mpole tuu