GY
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,279
- 126
ahsante mpendwa.
Maana huenda na sisi Tanzania tukapata Obama wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante mpendwa.
poa ahsante. Ila Unakubaliana na ninachotaka kufanya? Bado naendelea kusikiliza ushauri wa watu.
sijakasirika mkuu, hizi zote ni changamoto ambazo nilitaraji kukutana nazo.
Upo sawa kiimani. Asalam aleykum!
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.
sipendi maisha ya ndoa. I just need babies.
mmh jamani, bado mapema kufanya maamuzi ya mwisho. Nitakwambia.
ili mtoto kama ana shida baadae ya kumjua baba yake unamuonyesha...
Tukumbukeni mtoto ana haki ya kulelewa na Baba na mama! Tusifanye mambo kwa kujifurahisha katika dunia hii!
nipo bongo. Unataka kujua mkoa, wilaya, kata na tarafa?
wangapi hawana malezi ya baba na mama na wamekuwa normal??
au unataka kuwatukana wale successful single parents?
we mchungu. Bora nimuite "mkojo wa punda" ile dawa ya kikohozi tamu tamu.
loh! Kwa kudadavua mambo.
nikaushie lizzy.
Haya napotezea basi!!
Newayz kuhusu mtoto we fanya kitu roho yako inataka ili mradi tu usije kujutia baadae!Kama unajikimu na utaweza kumlea mi sioni tatizo.
Kuhusu matatizo ya kisaikolojia kama wengine wanavyosema, yanaweza kumpata mtu yeyote....mwenye mama na baba....mmoja wao au na asie nao kabisa.