Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

poa ahsante. Ila Unakubaliana na ninachotaka kufanya? Bado naendelea kusikiliza ushauri wa watu.

kuwa na msimamo bana,yaani hao wanaotaka usizae mtoto chotara washakutisha.????..
mbona tunachagua waume/wake wawe warefu,weusi wenye makalio makubwa. etc?mwaya its your life,do what pleases you!
wazungu wako soo understandning...ukimwambia hutaki umuone baada ya kuzaa mtoto atafanya hivyo...
mie nakushauri uongee na huyo utakayezaa naye,muwe na contact mkishampata mtoto wenu,ila msifuatane...
ili mtoto kama ana shida baadae ya kumjua baba yake unamuonyesha...
 
sijakasirika mkuu, hizi zote ni changamoto ambazo nilitaraji kukutana nazo.
Upo sawa kiimani. Asalam aleykum!

Wa Aleykum salaam. Kwa hiyo kama umekubaliana nami kuwa nipo sawa kiimani. Nakuomba funga huu mjadala na rudi kwa mola wako uombe toba ya kweli. Mwenyeezi Mungu husamehe dhambi zote, nakusihi achana na hiyo fikra potofu na ikiwa utafanya kweli, ujuwe utamtesa ki saikolojia huyo mtoto na wewe mwenyewe itaku haunt maisha yako, hutokuwa na raha. Wacha kabisa kufanya haramu ya kukusudia na kuipangia na kutaka ushauri kwa wengine. Mimi nakusihi achana na hii fikra mbaya.
 
Pole sana mkuu, zidisha upendo. Jitahidi kuwasiliana nae kila muda unapokuwa mbali nae. Kama ulikuwa na mazoea ya kwenda outing peke yako au na friends zako sasa uwe unaenda na wife.
Mwambie ukweli alichokuwa anakufanyia x wako ila msifie kuwa yeye anafanya vizuri zaidi ya huyo x.
Loh jamani! Nashukuru mimi na mme wangu hatuna maex. Sisi wenyewe mwanzo mwisho.

sipendi maisha ya ndoa. I just need babies.

Hapo kwenye bold ndo maana unataka kumletea chotara??:crazy:Jamani wewe
 
ili mtoto kama ana shida baadae ya kumjua baba yake unamuonyesha...

Tukumbukeni mtoto ana haki ya kulelewa na Baba na mama! Tusifanye mambo kwa kujifurahisha katika dunia hii!
 
Tukumbukeni mtoto ana haki ya kulelewa na Baba na mama! Tusifanye mambo kwa kujifurahisha katika dunia hii!

wangapi hawana malezi ya baba na mama na wamekuwa normal??
au unataka kuwatukana wale successful single parents?
 
wangapi hawana malezi ya baba na mama na wamekuwa normal??
au unataka kuwatukana wale successful single parents?

umeona eeh! Watu wamekariri formula. Kuna wengine wanafiwa na mzazi mmoja tangu wadogo kabisa ila malezi yao yanaenda fresh na mzaz huyo huyo mmoja.
 
we mchungu. Bora nimuite "mkojo wa punda" ile dawa ya kikohozi tamu tamu.

umeanza uchoyo hata kahafu kasti ketu hakajazaliwa. kama zungu halijapatikana tafuta japo wa congo waloweka mkorogo bana! maisha yenyewe mafupi haya.
 
Dah we Madam una matatizo makubwa sana.So hata hujali kumnyima huyo mtoto haki ya kumjua baba yake? then u r so selfish
 
umeanza uchoyo hata kahafu kasti ketu hakajazaliwa. kama zungu halijapatikana tafuta japo wa congo waloweka mkorogo bana! maisha yenyewe mafupi haya.

loh! Nipo against mikorogo.
 
nikaushie lizzy.

Haya napotezea basi!!

Newayz kuhusu mtoto we fanya kitu roho yako inataka ili mradi tu usije kujutia baadae!Kama unajikimu na utaweza kumlea mi sioni tatizo.
Kuhusu matatizo ya kisaikolojia kama wengine wanavyosema, yanaweza kumpata mtu yeyote....mwenye mama na baba....mmoja wao au na asie nao kabisa.
 
ahsante kwa ushauri.
 
Back
Top Bottom