Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

Nataka kuzalishwa, mtoto nitalea mwenyewe.

hofu yangu kama kutakuwa na mawasiliano btn baba na mtoto ipo cku baba anaweza akataka akaishi nae huko na mimi nataka nikae na baby wangu hapa hapa tz mwanzo mwisho.

Mungu tu ndo anaweza kukufanya uishi na mtoto mwanzo hadi mwisho. Utamnyima baba yake lakini si Mungu aliyemuumba. Upo?
 
Umewaza nini mpaka ukaandika hii sredi?
Ina maana wewe humjui Baba yako? Ukifa huyo mtoto itakuwaje? Maana huna Mkataba na Mungu wa kuishi milele. Hebu tafuta Mume uolewe acha mawenge Pls.
 
Napenda kuwa na mtoto chotara (half cast), natafuta mzungu nizae nae ila akishanipa mimba asiwe na habari na mimi wala mtoto. Nitalea mwenyewe. Awe tayari kupima magonjwa yote ya kuambukiza. Ushauri plz kabla cjaingia kwenye dating sites za kizungu.

Pole dada, hapa upate mzungu!!!, wala ukipata ni yule ..choka mbaya hana hata nauli ya kurudi kwao..........., ajuae kiswahili chote cha kijiweni, na si kushauri umpate huyo maana hizo mbegu pia sijui kama ni sawa!!!!
 
nahitaji ushauri na comments kwanza then nitaingia kwenye websites zao. Thanx.

Fanya maombi Mungu akupe mume wa kuoana naye, usizae mladi kuzaa. Chunga kuna swala la maadili na mtoto atataka kujua baba yake ni nani, upo hapo! Usiwe na haraka tafuta ushauri zaidi ili uweze kuwa na maisha mazuri baadaye, fedha sio kila kitu binti yangu. Ubarikiwe.
 
Yuko babu wa kizungu muingereza wa miaka 70. Uko tayari nikupe contacts?
 
The good way is you may buy sperms from the sex clinics shops ambazo zimepimwa kabisa. Pia unaamua mtoto wa aina gani wa kilatino mwenye nywele za carl, mwanamme au jike: na urefu wa babake au mamake: au zungu linalong'aa na nywele za blondy? Pia inategemea na matunzo huwa wanasema kama ni wa nywele za carl basi mimi nakushari ingia mtandaoni na pia family benefit ikoje na nchi unayoishi, kwa sasa sijui waishi wapi. Kama ni bongo du kwani pia utahitaji social network group of similar interest za watoto wa aina hiyo kwani wanakuwa wakorofi pindi wanapogundua wako tofauti na wenziwe hasa wakiwa shule.

i don't think kama kununua sperm is a good way. Mi nataka kitu mbili zimezane.
 
The good way is you may buy sperms from the sex clinics shops ambazo zimepimwa kabisa. Pia unaamua mtoto wa aina gani wa kilatino mwenye nywele za carl, mwanamme au jike: na urefu wa babake au mamake: au zungu linalong'aa na nywele za blondy? Pia inategemea na matunzo huwa wanasema kama ni wa nywele za carl basi mimi nakushari ingia mtandaoni na pia family benefit ikoje na nchi unayoishi, kwa sasa sijui waishi wapi. Kama ni bongo du kwani pia utahitaji social network group of similar interest za watoto wa aina hiyo kwani wanakuwa wakorofi pindi wanapogundua wako tofauti na wenziwe hasa wakiwa shule.

i don't think kama kununua sperm is a good way. Mi nataka njia ya kawaida.
 
Fanya maombi Mungu akupe mume wa kuoana naye, usizae mladi kuzaa. Chunga kuna swala la maadili na mtoto atataka kujua baba yake ni nani, upo hapo! Usiwe na haraka tafuta ushauri zaidi ili uweze kuwa na maisha mazuri baadaye, fedha sio kila kitu binti yangu. Ubarikiwe.

ahsante kwa ushauri baba.
 
Pole dada, hapa upate mzungu!!!, wala ukipata ni yule ..choka mbaya hana hata nauli ya kurudi kwao..........., ajuae kiswahili chote cha kijiweni, na si kushauri umpate huyo maana hizo mbegu pia sijui kama ni sawa!!!!

lol! Unamaanisha mtu aliyechoka kifedha mbegu zake za uzazi nazo zimechoka au?
 
Ukifa huyo mtoto itakuwaje? Maana huna Mkataba na Mungu wa kuishi milele. Pls.

mungu huyo huyo ndio anajua mtoto atasurvive vipi. Mbona watu wengi tushapoteza parents lakini life goes on.
 
nunua sperm kwenye internet.sinauzwa za kila aina.na huyo baba hutomjua maisha kwa ni sperm tu kwa kwenda mbele.zipo salama kabisa

Ni hapo utakapobambikiziwa sperm za mbwa au sokwe sijui utamlilia nani?
 
Kupata mbegu sio tatizo lakini unapataka kuzipanda pana mbolea?
 
Ngoja tukutafutie za half cast wa BBA, au hupendi half akuzalishe? Lkn u need kutangaza dau la kukuzalisha.
 
Nikupe namba za dakta Leake Abdalah maana naye ni quarter kast ya kigiriki halafu hupenda kuzaa hovyo bila kujali watoto wake.
 
Back
Top Bottom