Nataka kwenda Dubai au China kununua simu nipeni maelekezo mliowahi kwenda

We puunga, Bahresa ana elimu gani? Nani anaendesha makampuni yake? Umeona elimu zao huko kwenye website yake yake? Acha bange bana
 
Ukipata nafasi ya kusoma Soma Sana ila ukipata mchongo wa kupiga pesa zitafute kwa bidii
 
We puunga, Bahresa ana elimu gani? Nani anaendesha makampuni yake? Umeona elimu zao huko kwenye website yake yake? Acha bange bana
siku ukianza kutafuta pesa (UTAJIRI) sio pesa ya kula utakuja ujue kwann wenye elimu wanakuwa nyuma sana kwenye utafutaji pia unaweza ukahisi kama vile ulikuwa unapoteza muda kusoma mpaka university kumbe ni njia tu ya kuelekea kwenye utajiri nayo kwa namna nyingne.

wakat npo tunduma baada ya kugraduate university nkatoka dsm kwenda tunduma kibiashara aisee ndio niliona elimu ukipata ata diploma tu inatosha sana hz degrees, masters cjui phd kama unataka kuwa lecturer is OK but kama unataka kuwa tajr bora uitafute baadae ukishakuwa kama wakna Vunjabei
 
Kama chibu Hana master lkn mpunga vipi 😂
 
Kuna watu humu kazi yenu kukatishana tamaa kumbe, we ushawai kweli kusafiri hata hapo Kenya!!!, umemkatisha tamaa mwenzio bure
 
Upo sahihi mkuu,pale kkoo kuna jamaa yangu anauza Simu kwa jumla.....ukifananisha na bei za rejareja huna haja ya kupanda ndege labda kwenda kutembea tu
 
kuna watu humu kazi yenu kukatishana tamaa kumbe, we ushawai kweli kusafiri hata hapo Kenya!!!, umemkatisha tamaa mwenzio bure

Ushauri sio lazima..
Kila mtu na mawazo yake..
Wewe kama unaona inawezekana unafanya
Ushauri wetu unauacha ..
Shida iko wapi?
 
Ushauri muruua
 
Aisee wabongo tuna roho mbaya kinoma ila nnachojua huyo mwana ana mtaji mzuri sana wa kwenda china na kuja bongo akapata faida mzuri tu.
 
Yako makampuni hapa hapa Tanzania tena ya uhakika kabisa WATAFUTE KWA NAMBA HII 0652-472-486,watafute kaa nao chini utafanikiwa,ndivyo wenzako tunavyofanya kwa mitaji hii ya chini ya million 50.
Roho yangu ni safi ndio maana nimekupa pande hilo.
 
Mkuu ulifanikisha hii safari?
 
Katika kuperuzi JF nikakutana na huu uzi nikaanza kuusoma na kupitia comments nikijua ni uzi mpya baadae nikagundua ni uzi wa zamani tangu mwaka 2019 na pia nikaona na comments zangu mwenyewe nilizowahi kucomments.
Kiukweli huu uzi ulijaa madini sana na inafaa tuufufue watu waendelee kutema madini.
Wakati ule huu uzi unajadiliwa nilikuwa niko Bongo na kwa sasa niko Dubai.
So kwa wale wanaohitaji kujua jambo lolote la kibiashara wanaweza wakanicheki nitakuwa tayari kuwapa guidance bila shida yoyote.
 
weka namba yako hapa.
 
Gharama za malazi /kupanga Kama una plan za kukaa Dubai zaidi ya mwaka zipoje?
Na chakula gharama zake?

Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…