Nataka kwenda kula bata mkoani nikatalii mkoa gani? Kwetu dar

Ray model

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
207
Reaction score
185
Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii
Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata???

Nimeishiwa na pozi kiukweli nashindwa hata nichague wapi!!
 
Aiseee aaikudanganye mtu,karibu sana Iringa pia utafika mpaka Mbeya!. Utakuwa na utalii na mapumziko mazuri kabisa. Nitakuorodheshea vivutio zaid zaid ya 20 ukanda huu ambavyo havitangazwi lkn ukifika na kujionea kamwe hutojutia muda wako na pesa
 
Si umtajie hata 10 tu kwa kuanzia..1. Kalenga kwa chief Mkwawa 2. Isimila 3. endelea mkuu
 
Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii
Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata???

Nimeishiwa na pozi kiukweli nashindwa hata nichague wapi!!

Karibu kwetu Rufiji, lkn kama ungependa Mikoani ningekushauri Iringa City huo ndiyo Mji ninaopenda klk yote TZ!
 
Mwanza ili ufike na butiama kwa muasisi wa taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…