Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamtakia mema ?Nenda Tanga kisha Mombasa Maliza na Unguja
Si umtajie hata 10 tu kwa kuanzia..1. Kalenga kwa chief Mkwawa 2. Isimila 3. endelea mkuuAiseee aaikudanganye mtu,karibu sana Iringa pia utafika mpaka Mbeya!. Utakuwa na utalii na mapumziko mazuri kabisa. Nitakuorodheshea vivutio zaid zaid ya 20 ukanda huu ambavyo havitangazwi lkn ukifika na kujionea kamwe hutojutia muda wako na pesa
Ruaha national park,kwenye kaburi la mwamwindi(aliyempiga risasi Mkuu wa mkoa),kijungu jiko,daraja la mungu,kimondo,kiteputepu,ziwa ngosi, nitaendelea baadaeSi umtajie hata 10 tu kwa kuanzia..1. Kalenga kwa chief Mkwawa 2. Isimila 3. endelea mkuu
Huyu ni kaka mzuri.Karibu mkoani Lindi kaka
Hey guys mm ni mzaliwa wa dar kukua dar na naishi dar nataka nitoke kidogo kutalii
Niende mkoa gani???ni mkoa gani nzuri una vivutio vizuri zaidi kwa kutalii na kula bata???
Nimeishiwa na pozi kiukweli nashindwa hata nichague wapi!!
Nilikuchokoza mkuu naona umefunguka na mie nikapata vitu viwili vitatuRuaha national park,kwenye kaburi la mwamwindi(aliyempiga risasi Mkuu wa mkoa),kijungu jiko,daraja la mungu,kimondo,kiteputepu,ziwa ngosi, nitaendelea baadae
"""Iringa City""" kuna nini?Karibu kwetu Rufiji, lkn kama ungependa Mikoani ningekushauri Iringa City huo ndiyo Mji ninaopenda klk yote TZ!
"""Iringa City""" kuna nini?