Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,844
- 9,916
Kwani kuna shida gani mkuu"Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa "
NAKUSHAURI USIENDE
Hakuna kibali maalumu?Nenda Kizimkazi yupo amejaa tele
Naenda na t shirt na jeans mkuu.Usisahau nguo nyeupe
Wazo zuri sanaTAFUTA NAMBA YA MBOWE ATAKUPELEKA MSIBANI
Siwezi kupiga goti mkuu naenda tu kumfarijiSiyo Kila Mtu Anaruhusiwa Kupiga Goti
Tafuta nguo nyeupe ujue kunyenyekea na kuweka mikono kiheshima!!Naenda na t shirt na jeans mkuu.
πππππSiwezi kupiga goti mkuu naenda tu kumfariji
Ndio natakaWe unataka kitu kwa Mjane wa Taifa siyo bure
Kwakutumia bandari yenu, nimefanikiwa kununua meli zangu 9 tena mpya bila mkopo. Nyie ntawaletea makobazi na tende na ntawauzia kwa bei chee kama shukrani.Vipi bandari ya dar es salaam uliyomilikishwa ufanisi wake umepanda kwa kiasi gani?
Unataka niniNdio nataka