ministrant
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 1,400
- 2,623
Anzia mwanzo, utamalizia mwisho
Anza kwenye serikali yako ya mtaa."Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa "
NAKUSHAURI USIENDE
Ukiwajua vizuri Waganga wa Kienyeji wazuri Afrika (ila siyo kutoka Seychelles na Madagascar) nadhani hutoishia tu kumuona bali mtakuwa Mabesti kinoma. Sitaki swali tafadhali.Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan.
Je, utaratibu ukoje?
By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
Kanzu mwilini na kichwani barakashiaUsisahau nguo nyeupe
Anza mazoezi ya kukumbatia kidiplomasia....😀Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan.
Je, utaratibu ukoje?
By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
Who is he???
Mkumbato kama wa ChivayoAnza mazoezi ya kukumbatia kidiplomasia....😀
Wengine watakupa koneksheni
OkayUkiwajua vizuri Waganga wa Kienyeji wazuri Afrika (ila siyo kutoka Seychelles na Madagascar) nadhani hutoishia tu kumuona bali mtakuwa Mabesti kinoma. Sitaki swali tafadhali.
Amfunike Chovayo😀Mkumbato kama wa Chivayo
RaiaWho is he???
Ye Ajichanganye !Raia