Nyam
Senior Member
- Jul 9, 2012
- 134
- 72
Habari wana JF,
Mimi na mjumbe mwenzenu wa humu ndani,, Nimepata wazo la kufanya biashara ya simu na hivi karibuni nataka niende China kutafuta simu ambazo nitaweza kuja kuziuza hapa nchini ingawaje nafikiria nyingine nipeleke kijijini kwetu kuziuza.
Kitu kinachonisumbua sijajua ni simu zipi ambazo ni nzuri na ni affordable,zenye line 2, whatsapp hata Facebook ikiwezekana ambazo naweza kupeleka maeneo ya vijijini na zikauzika kirahisi..Mimi naishi Dar es salaam.
Mawazo yenu ni ya muhimu sana kwangu, masihara tuweke pembeni tafadhali.