Nataka kwenda kununua simu China kwa ajili ya Biashara

Nataka kwenda kununua simu China kwa ajili ya Biashara

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari wana JF,

Mimi na mjumbe mwenzenu wa humu ndani,, Nimepata wazo la kufanya biashara ya simu na hivi karibuni nataka niende China kutafuta simu ambazo nitaweza kuja kuziuza hapa nchini ingawaje nafikiria nyingine nipeleke kijijini kwetu kuziuza.
Kitu kinachonisumbua sijajua ni simu zipi ambazo ni nzuri na ni affordable,zenye line 2, whatsapp hata Facebook ikiwezekana ambazo naweza kupeleka maeneo ya vijijini na zikauzika kirahisi..Mimi naishi Dar es salaam.

Mawazo yenu ni ya muhimu sana kwangu, masihara tuweke pembeni tafadhali.
 
fanya organizeshe uzilete kipembapemba yani/unaleta mautumbo then housing unamalizi mabetri/zikifika unaunganisha unauza unakula bata kipembapemba
 
fanya organizeshe uzilete kipembapemba yani/unaleta mautumbo then housing unamalizi mabetri/zikifika unaunganisha unauza unakula bata kipembapemba

naomba unifundishe juu ya hili
 
Nasikia Rwanda zinapatikana original na bei nafuu, maana naona hapa ug kunajamaa anaziingiza kimagendo na kula isivyokawaida anasema Rwada ni bei poa
 
fanya organizeshe uzilete kipembapemba yani/unaleta mautumbo then housing unamalizi mabetri/zikifika unaunganisha unauza unakula bata kipembapemba

Duh mkuu heb funguka kidogo lugha yako imeniacha mataa. Na mbinu gan hasa ziko applicable ??
 
Duh mkuu heb funguka kidogo lugha yako imeniacha mataa. Na mbinu gan hasa ziko applicable ??

Nilichomuelewa ni kuwa una nunua simu unaifumua viopande vipande unaviingiza bingo kama Spare au used then unakuw aumepunguza/kukwepa gharama fulani.
 
Nilichomuelewa ni kuwa una nunua simu unaifumua viopande vipande unaviingiza bingo kama Spare au used then unakuw aumepunguza/kukwepa gharama fulani.

I had tha same idea in mind..smart phones zlzo cheap zenye whatsapp, camera nzuri na memory kubwa ndio deal sasa hvi bongo.
 
Back
Top Bottom