Nataka kwenda kupigana vita Iran niwasaidie kijeshi.

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...!

Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
 
Nayo ni Ibada pia.
 
Ukute wewe ni baba wa familia, kuna watu wanakutegemea, ama ww ni kaka wa familia kuna wadogo zako wanakutizama na kioo/idol/mfano bora ! Inasikitisha sana
 
Kama Upo Dar Es Salaam
Sema Tukuelekeze Iran Embassy
 
Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...!

Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??

Wenyewe wanakimbia alafu wewe unataka kwenda

Waziri Mkuu Netanyahu: ''Tuna dalili kwamba viongozi wakuu nchini Iran tayari wanafunga virago vyao - wanahisi kile kitakachotokea''.
 
Mimi sio mwanajeshi ila nataka kuwasaidia Iran dhidi ya Israel...!

Nataka kufa nikiwasaidia watoto wazee na wanawake wajawazito.. nitumie njia gani kisheria kutambulika kutoa msaada huu wa kijeshi..??
kabla hujaenda katibiwe akili yako
 
Kwani wanahitaji msaada wako?mbona congo na sudani hukwenda ambapo waafrica wenzio wanachinjwa kama kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…