Msikiti wa makka msingi wake ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isumail kwa amri ya mwenyezi Mungu kuwa wajenge Nyumba ya ibada pale
Hivyo waislam wanapokwenda kuiji Makka pia wanafanya vitendo kama kumbukumbu ambayo vilifanywa na nabii Ibrahim , Isumail na Hajiri pia
1) kuna kutembea kati ya vilima viwili swafa na Malwa kukumbuka Hajiri alipokuwa anaenda na kurudi kumtafutia maji mwanawe ili asife na kiu
2) Kuna kuchinja ni kama kumbumbu kuwa nabii Ibrahim alichinja kondoo aliyetwa na malaika baada ya kutaka kutimiza ahadi yake ya kumchinja mwanawe
3) Kumpiga mawe shetani ni kama kumbukumbu wakati shetani alipokuwa anata Hajiri ajue mpango wa Ibrahim wa kumchinja mtoto Hajira akawa anamfukuza shetini kwa kumrushia mawe
4) Kuna kisima cha maji ya zamzam kilichotokana na chemchem ili kufanya mtoto Isumail apate maji ya kunywa
na hii hija ni ahadi ambayo Mungu alimuahidi nabii Ibrahim
Katika kitabu cha mwazo Ibrahim alimsikitikia Mungu kuwa naenda zangu sina mtoto atakae kuwa mrithi wangu ni huyu mjakazi wangu
Mungu akamwambia huyo hatakurithi atakae kurithi atatoka katika viuno vyako
kaa ukijua kuwa Muislam ni raha sana yani kila kitu kina Full evidence
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app