Nataka kwenda Makka kumpiga mawe Shetani!

maana shetani roho sio binadamu ni sawa na kusema unampiga mawe jini
Hivi wewe mwenyewe unakielewa ulichoandika? Hebu soma tena mwenyewe halafu ujicheke.

Nini tofauti ya jini na roho?
 
Sasa shetani si ni wewe mwenyewe hapo unaenda kumpiga nani huko Macca au wewe ndio unajipeleka ukapigwe mawe?!

Usisahau, shetani wa mtu ni yeye mwenyewe.
 
Sasa shetani si ni wewe mwenyewe hapo unaenda kumpiga nani huko Macca au wewe ndio unajipeleka ukapigwe mawe?!

Usisahau, shetani wa mtu ni yeye mwenyewe.
Sasa bwashee unataka nijipige mawe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…